G Gloryb Member Joined Nov 16, 2013 Posts 21 Reaction score 12 Nov 30, 2013 #1 jamani ndugu zangu wapendwa kwa wanaokaa Dar. natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta/Namanga/Basihaya. ndo kwanza nataka kuanza maisha ya kupanga nilikuwa naishi kwa wazazi so naitaji chumba kimija tu. ASANTENI
jamani ndugu zangu wapendwa kwa wanaokaa Dar. natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta/Namanga/Basihaya. ndo kwanza nataka kuanza maisha ya kupanga nilikuwa naishi kwa wazazi so naitaji chumba kimija tu. ASANTENI