msaada wana jf

Sidhani kama hili jamabo linaweza sababisha kuvunja ndoa yako iliyodumu miaka saba!

Pengine hapo ndio mwanzo wa ndoa yenu inabidi huwe mvumilivu usifikiri wengine hayawakuti hayo kwenye ndoa zao labda kwa sababu hawapati wasaa wa kuandika kama wewe!

Calm down na uongee na mumeo vizuri pengine anayo kueleza ni ukweli na huo sio ushahidi mzuri wa kuvunja ndoa!
 
Pole dada lakini sidhani kama ni sahihi kwa wewe kufikiria kuacha ndoa kisa sms. Miaka saba inakutosha kuielewa vema taasis hii. Please sali sana na jifunze kujichunguza na kuchunguza mahusiano yenu wewe na mumeoi kama yana mapungufu rekebisheni.

Hilo tendo la ndoa unalopewa kama dozi ya Panadol, inakuwaje? kwani wewe wasubiria akugaie tu? Siku nyingine usisubirie dada yangu!
 

Zifafanue silaha za maangamizi kinaga ubaga apate somo ati , maana umeishia kati kati


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
jichekeage tu best maana naona lugha gongana inataka kuzua ya kuzua....je, angekuta mumewe anaandaliwa chai huko ofisini, si angezirai kwa breini konkasheni ya digriii tatu!!!

Ha,ha,ha....USITUKUMBUSHE YA KANUMBA,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
pole sana mdada hayo ni majaribu yabidi kuyashinda.
 
Haha haaaaaaa Asnam .. Kwa R.B kila siku kunawaka lolz daaaa..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

yeye ameona ana matatizo kumbe yake madogo kuliko ya R.B siunajua mtu akikueleza yanayomsibu ndo unaona kumbe afadhali yako.Ndo maana nimeomba amfuate huyo apate experiance ili afanye maamuzi.
 

Sasa wewe kwenye simmu ya mumeo ulikua unatafuta nini au unatafuta ugonjwa wa moyo?
 
Makubwa,,,, madogo yana nafuuu. Fanya hivi: MPENDE ZAIDI ajishangae...Atarudi tuuu...ila usishike tena simu yake....
 
Pengine alimkopa mumeo hela akachelewa kurudisha, deal na mumeo hakikisha unamtimizia yoteee yatakayomfanya asitamani vya nje. Pika vizuri...usafi kwa sana..ubunifu 6x6..sio uone umekaa miaka 7 uanze mazoea! Uwe mpya kila siku 🙂
 
Ha,ha,ha....USITUKUMBUSHE YA KANUMBA,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Halafu mpenzi nilikua nakutafuta sana...kesho kama utakuja mjini naomba tuonane, please!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…