nahitaji mashine ya kukobolea mpunga (SB-50 Rice Mill machine) kuna yoyote anaejua bei zake kwa sasa na inapo patikana na contact zao? natanguliza shukran
Mpendwa sina uhakika saana na wala sifahamu bei zake ila ukiwasiliana na SIDO -Moshi wanaweza kukusaidia hata kama hawana wao zilipo watakwambia,wasialiana na Munuo yupo SIDO-Moshi namba zake za simu ni 0754 92 93 24
Naamini utafanikiwa