CHUPA Member Joined Mar 22, 2014 Posts 26 Reaction score 13 Dec 10, 2016 #1 Tafadhari msaada wenu kwa anaye. jua jinsi ya kurudisha email iliyo futika katika trash coz wamesama inaishi ndani ya trash kwa muda wa siku 30 zen zinafutika automatically tafazari msaada wenu
Tafadhari msaada wenu kwa anaye. jua jinsi ya kurudisha email iliyo futika katika trash coz wamesama inaishi ndani ya trash kwa muda wa siku 30 zen zinafutika automatically tafazari msaada wenu
nobody knows but me JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 525 Reaction score 362 Dec 10, 2016 #2 Mkuu....hii thread jaribu kuiweka katika jukwaa la Teknolojia na science unaweza ukasaidika....huku sio rahisi
Mkuu....hii thread jaribu kuiweka katika jukwaa la Teknolojia na science unaweza ukasaidika....huku sio rahisi