KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,142
- 40,902
Wandugu...leo nime uninstall YouTube application kwenye simu yangu..sababu ilikuwa inaleta tabu..sasa kazi ipo kwenye kuiweka tena ndipo inapoleta tabu..nimejaribu nimeshindwa..kwa hiyo naomba msaada wenu wakuu..simu yangu ni Nokia E51..