Msaada wana jf kwenye android

Msaada wana jf kwenye android

smith smith

Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
34
Reaction score
3
Habar za hap wapendwa...naomben msaada wenu jf Nina cm ya tecno W3 imegoma kutuma na kupokea WhatsApp msg ,nikitaka kutuma inasema connect to the internet wakat data ziko on...nimejaribu ku unstall na nikadownload nyingine but tatiza limejirudia.
your help plz
 
uza kanunue simu, achaneni na hizo tecno
 
Habar za hap wapendwa...naomben msaada wenu jf Nina cm ya tecno W3 imegoma kutuma na kupokea WhatsApp msg ,nikitaka kutuma inasema connect to the internet wakat data ziko on...nimejaribu ku unstall na nikadownload nyingine but tatiza limejirudia.
your help plz
toa memory card kisha download kwenye device
 
hilo swala lako mtafute Mkwawa ni member humu ni mtaalam sana wa hayo mambo.

swissme
 
Whatsapp unavyodownload inajisave kwenye memory. So badilisha prefered instorage iwe phone then dowload tena
 
Back
Top Bottom