Msaada: Walioshindwa kupata D mbili wanaenda wapi????

Bado ana nafasi huyo ya diploma yoyote kutokana na comb aliyoisoma kupitia nacte
 
Mi mdogo wangu kapata 3 ya 15 ana DES comb ya CBG sijaelewa anaenda wapi maana NACTE course za afya advanced diploma hazionekani tena na vyuo vya ualimu vya serikali havipo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…