1 123456pr Member Joined Jul 21, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Aug 4, 2015 #1 naombeni msaada wanajamvi,nilituma Barua tangia wiki iliyopita lakn kwenye batch 5 cjaona jina langu.je kuna batch 6?
naombeni msaada wanajamvi,nilituma Barua tangia wiki iliyopita lakn kwenye batch 5 cjaona jina langu.je kuna batch 6?
T Tabora kwetu Senior Member Joined Sep 20, 2014 Posts 187 Reaction score 51 Aug 4, 2015 #2 Subiria kidogo trh 18.8 au NENDA ofsn kwao.....
danmarc JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 572 Reaction score 131 Aug 4, 2015 #3 angalia majina ya waliokosea baadhi ya taarifa zao kwenye barua
caine JF-Expert Member Joined Jul 4, 2015 Posts 629 Reaction score 1,442 Aug 4, 2015 #4 123456pr said: naombeni msaada wanajamvi,nilituma Barua tangia wiki iliyopita lakn kwenye batch 5 cjaona jina langu.je kuna batch 6? Click to expand... baada ya batch ya 5 kuna majina ya watu ambao kuna baadhi ya taarifa hazikukamilika kwenye barua zao fungua hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Approved re-application not published.pdf
123456pr said: naombeni msaada wanajamvi,nilituma Barua tangia wiki iliyopita lakn kwenye batch 5 cjaona jina langu.je kuna batch 6? Click to expand... baada ya batch ya 5 kuna majina ya watu ambao kuna baadhi ya taarifa hazikukamilika kwenye barua zao fungua hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Approved re-application not published.pdf
1 123456pr Member Joined Jul 21, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Aug 4, 2015 Thread starter #5 ndg nimechek hayo majina waliokosea simo.
1 123456pr Member Joined Jul 21, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Aug 4, 2015 Thread starter #6 nimechek hayo majina ya waliokosea sipo.
D dikai Senior Member Joined May 24, 2015 Posts 125 Reaction score 7 Aug 4, 2015 #7 majina ya waliokosea yako wapi