Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,291
- 10,192
Rejea kichwa cha habari hapo juu...nina mdogo hapa alihitimu chuo cha ualimu ngazi ya Astashahada (cheti)...alituma maumbi nacte kuomba kuendelea na ngazi ya Stashahada...ila majibu yanrudi kachaguliwa kusomea TECHNICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY chuo cha Singachini Moshi...SWALI: Naomba fahamu hiyo ni level gani na je ndo diploma yenyewe..???