Matofali bora kununua,mtafute fundi mzuri anaweza akakuchagulia shm kwenye matofali mazuri.matofali ya kutengeneza mwenyewe garama inakuwa nafuu kiasi ila inabidi utumie mda mwingi kuyaudumia eg maji na inabidi uwe bega kwa bega na uyo anayefyatua kwani bila hivyo mfuko mmoja utatoa matofali 50 ambayo ni mengi sana alafu cement inayobaki mzee anaipeleka sokoni.