Msaada wakuu

Msaada wakuu

Habari zenu,jaman me c mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali,kubwa lilinifanya niwe huku leo;me ni binti nina 25yrs ila kwakweli me cna maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gan naweza fanya kwa mpnz wangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.sry kwa post ndefu.

Kuna tuition nimeanzisha ni pm nikupe venue.
 
me naamini google ni mwalimu mzuri tu, nenda ka search uko utafundishwa mpk shetani ashangae.....
 
si ndo gia zenu!! Mtayadaka ma zombiiiiiiieeeeeee,,,!!

Ati si kazoefu kumbe mraba uko ( ... ... ... ... )

haha ha ha haaaa

Ndio za nan....... mm nlijifundisha mwenyewe kichwan kwang wala skuomba ushaur wa mtu
 
Nenda JLW ukipitia thread mbili tatu utakua tayari umewiva.
 
Habari zenu,jaman me c mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali,kubwa lilinifanya niwe huku leo;me ni binti nina 25yrs ila kwakweli me cna maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gan naweza fanya kwa mpnz wangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.sry kwa post ndefu.

Be nasty.. that's all... mapenzi uchafu so ukiona kinyaa hauta mridhisha ulie naye.... do wat comes first in your mind....
 
Back
Top Bottom