Msaada wakuu!

Mwakabizzle

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Heshima mbele wakuu wote hapa jamvini.....
naomba msaada wa kujua ilipo ofisi ya Dour Tanzania Company Limited,ninachofahamu ni kwamba wapo mtaa wa samora ila sijui jengo ilipo hii ofisi linaitwaje au ipo mkabala na jengo gani

Sio mbaya pia kama mtanisaidia ilipo ofisi ya HR Solutions Ltd ninachojua ni kwamba wapo vingunguti lakini sijui kituo cha kushukia kama unatokea mjini na jengo ilipo ofisi hii linaitwaje au lipo jirani na jengo au ofisi ipi kama alama ya kunisaidia kuitambua kwa haraka.

msaada tena wakuu Genius Consultancy hawa jamaa nao ofisi zao ziko maeneo gani na nikiwa natokea mjini nishuke kituo gani,,,,?

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Subiri wadau wanakuja mda si mrefu. Ndo wanarudi toka makazini
 

Ntakujibu kipengele kimoja kati ya hivo ambacho nakifahamu, HR Solutions Ltd wapo Nyerere road zamani Pugu road.Shukia kituo cha SIDO ni kituo cha baada ya Vingunguti kama unatokea TAZARA then vuka barabara utaona bango la Chai Bora mkono wa kulia kama unatokea TAZARA sasa ndiyo humo humo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…