Msaada wakuu

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu?naombeni msaada kwa anayefahamu,nina smart phone aina ya apple nimei format coz memory yake ilikua inasumbua cha ajabu sasa hivi nikiwasha inaweka alama ya apple tu lakini haiwaki,kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba anijuze
 
hiyo simu itakuwa mchina siyo apple original kwasababu simu za apple (ambazo ni iphone) original hazina sehemu ya memory card zina inbuilt memory kuanzia 8gb, 16gb,32gb na 64gb.
labda jaribu cheki kwa mafundi simu wa michina wanaweza kukupa msaada maana simu za mchina zina os zisizojulikana vigumu kukupa maelekezo
 
NA YENYEWE HAINA MEMORY CARD ILA INA INTERNAL MEMORY TU AMBAYO NI AROUND 9Gb
 
haaa nilisoma vibaya, jaribu kuiwasha ukae umeshikilia hiyo power na home button kwa 25.
Ikikataa iunge itune na uirestore
 
kariakoo kuna mafundi wanafanya hiyo kazi,ya kurestore os,ila sifahamu ni wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…