mbona gari halina shid..bali dereva ndio tatizo unazima tu gari bila mpangilio na inaonesha ww ndio wale madereva wanaozima gari gia ikiwa kwenye D,R au N yaani ww ukishafika mwisho wa safari yako ukiwa kwenye D au R wakati wa kupaki gari vizuri ile ukishasimamisha tu fasta ushachomoa funguo haraka na gafla umeshatoka nje unafunga mlango kisha huyoo unaishia zako..na hata wakati wa kuwasha mwendo ni huo huo unajua kuzungusha funguo tu pasipo kujali kama hatua za awali za uwashaji gari zimefatwa..hali hiyo inaliua gari taratibu..kosa ni lako kwanini unaliwasha gari hali ukijua gia haipo sehemu sahihi maana ulipozimia gari sehemu isiyo sahihi ndipo utakapoiwashia pia sehemu isiyo sahihi..suluhisho ni ww kuacha kuzima gari ovyo na kwa pupa na ufate zote za uzimaji gari.