Msaada wakuu

Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
694
1,052
Wakuu mnotumia whatsapp!

Mimi natumia tecno WX3 , Nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen !bila ku view Yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates ,screen inakuwa empty! Nimejaribu kutumia whatsapp zingine hali inakua hivyohivyo!.Shida ni nini ? Msaada wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom