Msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Julius Kaisari, Aug 30, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Heshima zenu!
  Mwenye ujuzi anisaidie,nina mashine yangu ya Samsung Galaxy tab GT P1000. Nilinunua brand new.katika kutaka kuifaidi,nilikuwa nikidownload masoftware from markets ya android,hatimaye ikaanza kuleta mazingaombwe ya kustuck na inaclose open application zote.niliamua kufuta vyote nilivyoinstall,kwa ku-reset(factory reset). Baada ya hapo speed ya internet imekuwa slow sana na sometym inadisplay failed to comnunicate to server. Je nifanyeje?
  Nitashukuru kwa msaada.
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kama bado inatumia Firmware v2.2 fanya upgrade to v2.3.3 Gingerbread, itaondoa bugs na kuiweka ktk hali nzuri zaidi....
   
Loading...