Galaxy Tab

Galaxy Tab

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,176
Reaction score
683
Heshima zenu!<br />
Mwenye ujuzi anisaidie,nina mashine yangu ya Samsung Galaxy tab GT P1000. Nilinunua brand new.katika kutaka kuifaidi,nilikuwa nikidownload masoftware from markets ya android,hatimaye ikaanza kuleta mazingaombwe ya kustuck na inaclose open application zote.niliamua kufuta vyote nilivyoinstall,kwa ku-reset(factory reset). Baada ya hapo speed ya internet imekuwa slow sana na sometym inadisplay failed to comnunicate to server. Je nifanyeje? <br />
Nitashukuru kwa msaada.
 
kama bado inatumia Firmware v2.2 fanya upgrade to v2.3.3 Gingerbread, itaondoa bugs na kuiweka ktk hali nzuri zaidi....
 
Yeah ni v2.2 froyo. Ngoja nijaribu maujuzi hayo. Thanx sana
 
Nenda XDA developer uflash custom ROMS ambazo zipo stable.faster na zimeongezewa baadh ya features zpo optimised kuongeza battery life! If u want to make the most out of ur android device head to the site i.e if u knw wat ur doin!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom