Msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu

Discussion in 'JF Doctor' started by Kipis, Aug 7, 2011.

 1. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nina tatizo ambalo lina muda mrefu takribani miaka 32 sasa. Nakumbuka hili tatizo lilinianza wakati nipo primary school. Siku moja wakati nipo home nafanya home work,ghafla nilijisikia baridi kali na moja ya kokwa yangu imevimba. Nilihisi kuwa na maumivu makali sana,lakini hayo maumivu hayakuendelea zaidi. Baada ya hapo,hakuna hatua yoyote ambayo niliichukua kwani hata wazazi wangu sikuweza kuwaambia kutokana na hiyo hali.kadri siku zilipozidi kwenda.na ndipo mabadiriko ya sehemu zangu za sili yalipokua yanatokea. Uume ulianza kuvutwa kwa ndani [kufupishwa] na kokwa [peke] kuwa ndefu na kujaa.mpaka hivi leo uume wangu,una wastani wa urefu wa inch 1.5 Ukiwa umelala na ukisimama ni wastani wa inch 2.5. Unene ni wastani cm 1.5=15mm. Naomba mawazo yenu nifanye nini ili niondokane na hii hali ya kuwa na uume mdogo pamoja na kushuka kwa kokwa zangu? maana hata tendo la ndoa silifurahii kwani ninapokuwa kwenye hilo tendo na shemeji yenu akikohowa tu uume unachomoka.nitashukuru kwa mchango wenu wa mawazo.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah pole sana mkuu, umefanya vibaya kutowahi hospitali pale ulipopatwa na tatizo lakini bado unatakiwa kwenda hospitali wakagundue kuwa tatizo nini na upatiwe matibabu. Inawezekana kubaki kwako na hilo tatizo kutapelekea uume kupotea kabisa au kupata tatizo jingine kubwa zaidi, hivyo nenda hospital.
   
Loading...