Huwezi mkuu, hio 95mb inakuwa ni Apk na hio 1024mb zinakuwa ni data.
Kwenye data ndio kunakuwa na picha, sauti, video, graphics mbalimbali etc. Sema kuna ambao wanaweza kuzipunguza hizo data ikawa kama 95mb apk na data 300mb ama 500mb wanafanya hivyo kwa kutoa texture za resolution kubwa, kutoa sauti za lugha zisizo kingereza etc.