Msaada wakuu

Msaada wakuu

charger zote? ukichaji na usb kawaida je? mfano unachomeka usb kwenye laptop
Chaja zote alafu imekuwa slow sana kupeleka chaji nimebadili battery lakini bado alafu kingine kuna kamlio inatoa sehemu ya system charge nikiwa natumia.
 
Chaja zote alafu imekuwa slow sana kupeleka chaji nimebadili battery lakini bado alafu kingine kuna kamlio inatoa sehemu ya system charge nikiwa natumia.
hebu download app ya ampere playstore kisha ukiwa unacharge ifungue ni ampere ngapi zinaingia?
 
Ipo tofauti tofauti kuna mda 1000+,800+ na 900+
Screenshot_2018-03-24-10-33-56.jpg
Screenshot_2018-03-24-10-34-11.jpg
Screenshot_2018-03-24-10-34-30.jpg
 
itakuwa na tatizo mkuu, maana huo umeme unaoingia ni mwingi lakini inajaa taratibu hapo kuna mahala unapotea na kusababisha simu ipate joto. hapa nafkiria possibility mbili.
1. ni tatizo la hardware, labda system charge imeharibika.
2. kuna vitu ndani ya simu muda wote vinatumia cpu na kufanya simu ipate joto, kuisha charge upesi na kucharge kidogo kidogo.

hio namba mbili ni rahisi kujua. jaribu kufanya hivi
-zima data kwenye simu
-nenda setting kisha kwenye battery eka battery server on hii itafunga background process na kupunguza mambo yanayofanya kazi chini kwa chini, kisha jaribu tena kuchaji uone kama itapata moto na kuingiza chaji taratibu?
 
Back
Top Bottom