Msaada wakuu

Msaada wakuu

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Naunganisha PC na Home theatre kwa Bluetooth, connection inafanikiwa 100% lakini Cha ajabu niki-play audio file (music) bado sauti ya huo mziki unasikika kupitia PC nasio kupitia Speaker za Home theatre.

Mwanzo nilikua natumia Bluetooth ku-connect PC na Home theatre ( sio PC hii ya Sasa).

Nisaidieni wapi kuna tatizo mpaka connection ifanikiwe ila sauti ishindikane kwenda kwenye home theater?
(Natumia Sony home theater watts 1000)
 
Mkuu niuzie hiyo Home thíeter nichek DM
IMG_20180322_184317_884.jpg

nipe pesa hii
 
Nina simu ina connect bila shida na ina play, na hata PC yangu ya mwanzo ilikua ina connect na ku-play bila shida.
eka model ya pc tucheki full specs kama kweli imetimiza vigezo vya hio bluetooth.

alternative kanunue adapter ya bluetooth ambayo ni zaidi ya 2.1
 
Lenovo IdeaPad S10-3
inayo bluetooth 2.1 na edr.

jaribu ku update drivers toka site ya lenovo au jaribu troubleshoot ndogo ndogo kama vile kuplay sauti na windows media player kisha kufanya hivi

1. Open Windows Media Player
2. In the upper left corner, choose Organize and from there Options
3. Choose the tab Devices and then press Speakers and Properties
4. Select your Speakers as the device there and Apply + Ok

uone kama utaziona speaker kwenye pc.
 
Chief vipi?
 
Back
Top Bottom