Msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nyendo, May 31, 2011.

 1. n

  nyendo Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali hapa wilayani ngara kagera kutokana na matatizo mengi yaliyopo hapa wilayani kielimu tumeamua kuunda CBO ambayo lengo lake ni kuanzisha maktaba na maabala kwa ajili ya wanafunzi wa mashule yalipo maeneo ya ngara ili waweze kujiongezea skills na kupata sehemu ya kujisomea baada ya muda wao wa masomo kwani wilaya nzima haina maktaba na mahabala za mashule ni chovu mno.Tumepeta bahati ya kupata jengo kubwa hapa wilayani linalotumika kama community center ambalo tumepewa na mkurugenzi wa wilaya DED kwa hiyo ndugu tunaomba msaada wa vitabu na chemicals kutoka kwa watu wote wenye mapenzi mema au kutupa link wapi tunaweza kupata misaada kama hiyo.
  Mbarikiwe wana JF wote.
  unaweza kunipata kwa email hii edmusime@gmail.com
   
Loading...