Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 May 30, 2011 #1 Ninatumia Modem ya Vodacom,Ila nimejikuta ninakwama kwakuwa eneo nililopo mtandao wa voda unasumbua sana,nauliza kama kunauwezekano wa kuchakachua niweze kutumia line yeyote.
Ninatumia Modem ya Vodacom,Ila nimejikuta ninakwama kwakuwa eneo nililopo mtandao wa voda unasumbua sana,nauliza kama kunauwezekano wa kuchakachua niweze kutumia line yeyote.