Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Naweza kusoma SMS za inbox Facebook bila kutumia messenger?!
Siipendi messenger naona km inanijazia nafasi tuInawezekana kwa kutumia browser kwa nn unataka ivo,..??
Asanteinawezekana mkuu ..messenger inamaliza space tu...ukitumia browser..