jmdume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 317
- 301
Habari zenu wakuu wajuvi.. naombeni msaada , ni wapi zinapatikana Universal dc laptop adapters za magari yani charger za laptop ambazo naeza kutumia kwenye gari au DC power source yenye 12v ...please naombeni msaada kwa anayefahamu wapi zinapatikana hizi accessories niko sehemu ambayo haina umeme wa AC so nahitaji hiki kifa ili shughuri zangu ziweze kwenda sawa.
Dizaini ya kifaa chenyewe ni kama demo hii kwenye picha
Dizaini ya kifaa chenyewe ni kama demo hii kwenye picha