Naomba msaada wa Mawazo ,Nimenunua simu hiyo baada ya kuichaji masaa 4,nikaitoa na kanza kuitumia,
Kilicho tokea baada ya kama saa moja ikajizima,
Kurudi Dukani nilipo uziwa sijapata msaada wowote,
Naomba ushauri wenu Wakuu humu ndani.
Ukiiwasha inaonesha maandishi ya tecno tu,afu inakua inawaka na kuzima baadae screen inakuwa plein tu,
Niko mkoani wakuu.