Mkapa aliwahi kuwa Boss wa SHIHATA? Nafikiri ni Daily News au Standard kama sijachanganya habari!SHIHATA lilikuwa Shirika la Habari Tanzania ambako Ben Mkapa aliwahi kuwa bosi wake.
Alikuwa Shihata na pia aliwahi kuwa Daily News. Ninachokuambia ni ukweli asilimia 100%Mkapa aliwahi kuwa Boss wa SHIHATA? Nafikiri ni Daily News au Standard kama sijachanganya habari!
Poa nitakucheki PMMkuu, kama una makaratasi ya hii SHIHATA natikiwa kuisoma maana naskia ilikua ya serikali sasa izo pitfalls zake ndio muhimu sana.....
Nimekuelewa Mkuu. Nilikuwa sikubishii kwani siku ni nyingi zimepita!Alikuwa Shihata na pia aliwahi kuwa Daily News. Ninachokuambia ni ukweli asilimia 100%
Thanks mkuu!!!,hata mimi nimepata ufahamu sasa.Alikuwa Shihata na pia aliwahi kuwa Daily News. Ninachokuambia ni ukweli asilimia 100%
Ni kweli. Kuna ndugu yetu mmoja hivi alikuwa mbea mbea akabandikwa jina la Shihata.Wakati ule wambea waliitwa shihata