Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
Mkuu hii nouma sasa maana ni emergency na natakiwa nifanye kazi sasaWataalam wamelala mkuu, mida mbovu hii
Mkuu hii nouma sasa maana ni emergency na natakiwa nifanye kaziWataalam wamelala mkuu, mida mbovu hii
Yaaan unamaana ganiNdama warudie wahusika.
Kwa hiyo sie tunaosoma saiz ni walinzi au sio!!!!Wataalam wamelala mkuu, mida mbovu hii
VGA nimechomoa nimeweka tena..Angalia cable, chomoa chomeka tena kwanza tuone
Kuwa na adabu
Kuwa na adabu
Ninyi ni asikari doria mitandaoni mnapeana shift tu unadhani hatujuiKwa hiyo sie tunaosoma saiz ni walinzi au sio!!!!
Mkuu unajua kazi haziendi hapa nasubiri solution ππππππ
Mtag CHIEF MKWAWA nadhani kesho akiingia ataionaMkuu hii nouma sasa maana ni emergency na natakiwa nifanye kazi sasa
Ulale sasaMkuu unajua kazi haziendi hapa nasubiri solution ππππππ
Ndo nyie tunawapiga
Mkuu window again..windo shusha
Kwahiyo sasa hivi unatumia CPU nyingine sioVGA nimechomoa nimeweka tena..
Nimechange monitor
Nimeaweka CPU nyingine kwa hii monitor mzigo upo fresh
Yaan ishu ni CPU hii about hzi connection zote zipo oky mkuu..
Na ukiwasha inaanza kuwaka vzri tu na maneno yanakuja yale ya click esc sijui f1 as normal ila baada ya hapo kile ki window icon hakiji