Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

Msaada wakuu open university wameshashotlist watu wa interview?

ndorobo 2

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
38
Reaction score
5
kuna yeyote mwenye taarifa kama open university wameshotlist kwa ajili ya inteview? walitoa tangazo la kazi na dedline ilikuwa july sasa mpka leo naona kimya.:A S confused:
 
Nasikia tayari watu,washafanya walipigiwa simu.
 
tumeshafanya kitambo sana ni zaidi ya mwezi ilikuwa september 4, ila ki
 
Acha kupoteza muda ww na kusubiri ajira za open university hutopata
 
Nadhani walisema only shortlisted candidates will be contacted.au hukukiona hcho kipengele mkuu?
 
Back
Top Bottom