Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

Laurence

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
3,104
Reaction score
426
Heshima mbele wakuu wote wa Jf;mimi ni wakala wa Mpesa;Airtel Money na tigo Pesa;kuna mtu alimtumia msichana sms kwamba mimi boss wake nahitaji kiasi hicho cha fedha huku akimweleza kuwa mimi yani akimaanisha mimi boss wake sitokuwa hewani kwa sababu nimeishiwa chaji na inaonekana ali hack namba yangu mana msichana anasema sikuwa hewani lakn muda wote nilikuwa hewani;sasa mara baada ya kutuma fedha kiasi cha millioni moja ndipo binti akanipigia simu baada ya muda akiniuliza nishapata hela? Nikamwambia sijahitaji hela yoyote kwako na ukitizama sms ya kwanza aliomtumia ilionekana ndilo jina ambalo amenisave huyo msichana wangu wa kazi;je naweza mpata kama nikimwaga namba zake hapa? Maana alitumia namba nyingi mbali mbali kutumiwa hyo fedha;maoni yenu tafadhari na funzo kwa wenzangu
 
Pole sana mkuu, utapeli hauna mjanja maana mbinu mpya zinabuniwa kila kukicha.

Nakushauri ukubali matokeo kisha Jipange Upya.
 
Asante mkuu;jamaa wanarudisha watu nyuma kimaendeleo
 
pole sana kak mkubwa utapel upo kila cku cha msing kuwa makin isije ikatokea tena mana hakuna uchungu unao uma kama wa kuibiwah ni shida
 
Heshima mbele wakuu wote wa Jf;mimi ni wakala wa Mpesa;Airtel Money na tigo Pesa;kuna mtu alimtumia msichana sms kwamba mimi boss wake nahitaji kiasi hicho cha fedha huku akimweleza kuwa mimi yani akimaanisha mimi boss wake sitokuwa hewani kwa sababu nimeishiwa chaji na inaonekana ali hack namba yangu mana msichana anasema sikuwa hewani lakn muda wote nilikuwa hewani;sasa mara baada ya kutuma fedha kiasi cha millioni moja ndipo binti akanipigia simu baada ya muda akiniuliza nishapata hela? Nikamwambia sijahitaji hela yoyote kwako na ukitizama sms ya kwanza aliomtumia ilionekana ndilo jina ambalo amenisave huyo msichana wangu wa kazi;je naweza mpata kama nikimwaga namba zake hapa? Maana alitumia namba nyingi mbali mbali kutumiwa hyo fedha;maoni yenu tafadhari na funzo kwa wenzangu
Mkuu weka utaratibu kuwa, asifanye muhamala wowote I.e kukutumia pesa pasipo maelekezo ya cm alafu usipende kuwasiliana ishu za fedha kwa sms pia namba za kazi ziwe tofauti na binafsi etc
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri na yote hayo nilishamuelekeza
 
pole sana kak mkubwa utapel upo kila cku cha msing kuwa makin isije ikatokea tena mana hakuna uchungu unao uma kama wa kuibiwah ni shida
Mkubwa Sam wewe acha tu kuibiwa kunauma as long unatafuta kwa muda mrefu mtu mwingne anakuibia hivi hivi
 
Heshima mbele wakuu wote wa Jf;mimi ni wakala wa Mpesa;Airtel Money na tigo Pesa;kuna mtu alimtumia msichana sms kwamba mimi boss wake nahitaji kiasi hicho cha fedha huku akimweleza kuwa mimi yani akimaanisha mimi boss wake sitokuwa hewani kwa sababu nimeishiwa chaji na inaonekana ali hack namba yangu mana msichana anasema sikuwa hewani lakn muda wote nilikuwa hewani;sasa mara baada ya kutuma fedha kiasi cha millioni moja ndipo binti akanipigia simu baada ya muda akiniuliza nishapata hela? Nikamwambia sijahitaji hela yoyote kwako na ukitizama sms ya kwanza aliomtumia ilionekana ndilo jina ambalo amenisave huyo msichana wangu wa kazi;je naweza mpata kama nikimwaga namba zake hapa? Maana alitumia namba nyingi mbali mbali kutumiwa hyo fedha;maoni yenu tafadhari na funzo kwa wenzangu

pole sana mkuu, mara nyingi hawa matapeli wanashirikiana wafanyakazi wa makampuni wasio waaminifu!!
 
Lile zoezi la usajili wa laini lilikuwa na maana gani kama bado mtu anaibiwa bila msaada.
 
Pole sana. Umewasiliana na customer care wanasemaje? wao wana uwezo wa kuona namba iliyotumiwa pesa, mahali alipo mtuhumiwa hata kama simu imezimwa watajua mara ya mwisho alikuwa wapi na pia mawasiliano baina yao.
 
Mkuu pole sana mimi binafsi ni menusurika mara tatu, issue iko hivi anakuja jamaa anamdanganya huyo binti kuwa anakutafuta halafu amepoteza contact zako so huyo kijana anaitafuta kwenye phone book yake jamaa anatumia kila aina ya ujanja anaichukua hiyo simu then kwa haraka ana edit jina anaacha lako namba anaweka ya kwakwe then mchezo unaanzia hapo...
Cha kufanya piga marufuku kabisa mteja kuishika simu ya kazi, Usiwe unatoa maelekezo kwa sms lazima upige simu na mara nyingi tumia namba tofauti na ya ofisi
 
Hasa mabinti ni wadhaifu sana kwa wakaka ambao wanajifanya watanashati......rahisi sana kuwapa simu za ofisi jamaa wanajenga mazoea muda kukujua jina, unakaa wapi nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom