Msaada: Wakuu nikituma email kwenda moe inaniandikia rejected

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,780
2,547
Wakuu mdogo wangu kasomea fani ya ualimu wa science kamaliza mwaka 2015,wameambiwa watume nakala za vyeti wizara ya elimu kwa ajili ya uhakiki wa ajira mpya.

Nipo hapa namsaidia kutuma email mdogo wangu kwenda info@moe.go.tz but baada ya mda kama dakika moja hivi inaingia email mpya kuniambia email niliyotuma is rejected.Email nayotumia ni yahoo.TATIZO NINI HAPO WAKUU
 
Matatizo ya server yao inaonyesha kama imejam(imezidiwa) hivyo inazireject email jaribu kufanya mawasiliano na wizara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom