hayo maji yanalindwa na majoka makubwa ni bora ukalime maana cjawahi ckia mtu ambaye amefanikiwa.
Kwa anayefahamu au anayo hii bidhaa tafadhali tuwasiliane naihitaji sana,.
Either kama unajua wapi inapatikana pia naomba unifahamishe tafadhali!!
Natanguliza shukrani,.
ikoje hiyo hadithi mkuu?,.
mkuu siyo kila jambo ni la kuleta masihara,.
Kama hufahamu bora utulie tu, wanaojua watanisaidia!!
Kwa anayefahamu au anayo hii bidhaa tafadhali tuwasiliane naihitaji sana,.
Either kama unajua wapi inapatikana pia naomba unifahamishe tafadhali!!
Natanguliza shukrani,.
Akili yako ndogo sana haifiki hata ujazo wa kb 50.
mtu mwenye akili timamu hawezi kutapeliwa kwa hadithi za utapeli wa miaka ya 1980 huko.
siku nyingine anzia google kupata maelezo sahihi ya unachotaka kabla ya kuleta ujinga wako hapa.
ninazo kilo nyingi sana mpwa wangu, vipi umefungua mgodi wa dhahabu?