WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 623
Habari wakuu,
Ninauliza kama ninaweza pata samsung note 3 mpya na original.
Ninaipenda hii simu japo kuwa ni ya zamani.
Please wataalamu naomba ushauri na jinsi ya kuipata simu tajwa....!