Msaada wakuu kuhusu sengerema secondary

Oy, School Ina Maghorofa Ya ukweli2 kama usha fika tarime sec au mwenge ndo style ya kihivyo.




school iko karibu na bwawa xo ma breezing yapo ya kutosha.



kuhusu religious aspects.
school haijabana. wanao ena kusali nifresh mno wengine wanakataga sikunzima hawapo school j2 na j1 kwa wasabato.



**kama Ukisoma Kiukweli Utapasua2 Siunajua Mwanza Region Mitihan Yake Waga imesimama vya kutosha kuliko Maregion Mengine.xo Jipange Kwa Hilo hii nikwasababu mastudent ya huku sangara na sato yana2mia kwa sana2.



**kuhusu madem usipende kwan hua kuna mabiff la madem Baina wananchi na student.
jaribu kua na ushirikiano na student wenzako utatoka2.

Ukikanyaga waya, shauliyako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom