Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, ni financial regulations za Tz ndo shida kwenye issue ya kupokea fedha kutoka nje. Natumia Paypal since 2010, sijawahi pokea fedha toka nje, zaidi ya kutuma tu. Ni Skrill tu nimetumia peke yake kupokea.
Kindly check below response from Paypal Team on receiving money in Tz.
Thanks.
View attachment 1079888