Msaada wakuu chuo kizuri cha certificate

Issakson makanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
674
1,028
Salaam,

Wandugu naombeni ushauri wa chuo kizuri kwa mwanangu kwa course ya laboratory or clinical officer.

NB: Hasa kwa Arusha, Moshi na Tanga.
 
Salaam,

Wandugu naombeni ushauri wa chuo kizuri kwa mwanangu kwa course ya laboratory or clinical officer.

NB: Hasa kwa Arusha, Moshi na Tanga.
Sema ufaulu wake tumasaidie unaweza kuta hata Physics hajui ndo nn
Physics, chemistry, maths na biology angalau awe na D
 
Salaam,

Wandugu naombeni ushauri wa chuo kizuri kwa mwanangu kwa course ya laboratory or clinical officer.

NB: Hasa kwa Arusha, Moshi na Tanga.
Samahani kuna kimoja kipo Morogoro kama utapenda kinaitwa mum wanatoa iyo kozi ni kizuri sana
 
Back
Top Bottom