Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Habari majukumu wakuu.
Tafadhari ndg zangu mwenye tangazo la kazi AFRICARE naambiwa liko kwenye gazeti la The guardian la leo tusaidiane infomation.
Si mnajua tena wengine tuko porini jamani tunasoma magazeti yaliyopitwa na wakati