Msaada wakupunguza Font za web ya JF

Msaada wakupunguza Font za web ya JF

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Viongozi,

Nawasalimia jamani naomba msaada wa kupunguza font size za JF web zimekuwa kubwa sijui kuna nini kiimetokea.Kwa web zingine font zipo kawaida ila kwa JF ndio zipo kubwa.

Nawasilisha
Akili Unazo!!
 
unatumia browser gani?
ni kwenye simu au PC?

kama ni kwenye computer jaribu kufanya hivi.... Bonyeza CTRL + + kuongeza au CTRL + - kupunguza
N.B njia hii ni ya kuzoom in/out haipunguzi font size
 
au CTRL+scroll up to Zoom IN na CTRL+scroll down ili kuZOOM OUT
 
unatumia browser gani?
ni kwenye simu au PC?

kama ni kwenye computer jaribu kufanya hivi.... Bonyeza CTRL + + kuongeza au CTRL + - kupunguza
N.B njia hii ni ya kuzoom in/out haipunguzi font size
Mkuu shukrani hata mimi umenisaidia.
 
mkuu snochet unamaanisha nn kwenye scroll up na scroll down? mbona mm sijawahi kuona hizo key kwenye keyboard


karibu...tena
yaani bonyeza CTRL kenye keyboard yako then kwenye mouse yako tumia hicho kigurudumu cha katikati,ukikipeleka juu itazoom OUT,Ukikishusha itazoom IN....
 
Back
Top Bottom