allydasmartboy
Member
- Jul 14, 2018
- 36
- 7
Jaman nina mdogo wangu yupo form 5 PCB anaitaji viatabu vya ngaiza sasa cjui na vipataje mwenyekujua na bei zake naombeni msaafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninavyo hapa kuna ngaiza organic&physical chemistry dukani vinauzwa 25000/=
Ila baada ya kupata div 3 ya 14 nimeamua nivichome, hilo halina mjadala.
unazinguaaMkuuu umepishana na boooooooom la jiweeeeNinavyo hapa kuna ngaiza organic&physical chemistry dukani vinauzwa 25000/=
Ila baada ya kupata div 3 ya 14 nimeamua nivichome, hilo halina mjadala.
Nendeni mkale lakini kimbukeni mtalilipia, wakati huo sisi vilaza tukilia kivulini
Sio mbaya hiyo inatosha sana kuishiNinavyo hapa kuna ngaiza organic&physical chemistry dukani vinauzwa 25000/=
Ila baada ya kupata div 3 ya 14 nimeamua nivichome, hilo halina mjadala.
Ila kweli mkuu
Ninavyo hapa kuna ngaiza organic&physical chemistry dukani vinauzwa 25000/=
Ila baada ya kupata div 3 ya 14 nimeamua nivichome, hilo halina mjadala.