Unaweza as long as ulisoma chemistry ama physics zamani na ina credit.
Japokuwa natamani ungeniomba ushauri nikakuambia jitaftie masters ya public health. Utapata chance ya kuendelea kufanya mambo ya afya huku ukivuta hela ndefu bila stress za jk.

Hiyo kitu nawish sana nisomee, MpH aaagh ngoja nimalize shamba langu kwanza King'ast ivi hiyo MpH ni kwa wenye bachelors za md & nursing pekee? Mir nilisoma zamaaani bsc in zoology
Raha ya kusoma sayansi ni kuwa haina mipaka mingi. Yaani unasoma kwa raha zako. Sasa hivi kuna partial scholarship muhimbili. Wanakulipia ada wewe unajikimu tu. Hebu vuna ukasome aisee, ajira kibao.