Msaada waku unlock iphone imenigomea

Msaada waku unlock iphone imenigomea

Charles kikoti

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
461
Reaction score
121
Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni mnisaidie wana JF.
 
Inatumia Operating system ipi? kama ni Android ni PM nitakuelekeza jinsi ya kufanya kama ni iOS ingia kariakooonline.com utakuta bei zake
 
Back
Top Bottom