hiyo modem yako kwa vile ni ya Zantel basi ni ya CDMA. huwezi kuitumia kwa tigo , airtel wala voda, kama unataka kuitumia kwa ttcl na kama SIM card yake siyo embeded (kubandikwa humo humo bila kuonekana) na ina weza kuingia sim card basi ttcl wanafanya hivyo kwa TSH 1500 , i mean buku jero.
kama haitumii sim card basi ndio haiwezekani