ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
Hiki kipindi kila mtu anatangaza nia ya kugombea uraisi hivyo na mimi nimeona nitangaze nia yangu ya kutaka kutangaza uraisi wa JF
Support yenu wadau
Na nikipita sheria ya makosa ya mitandao naifuta maana wanatubana
Yaan hata hatupumui
Nichaguen jamani muwe huru
Support yenu wadau
Na nikipita sheria ya makosa ya mitandao naifuta maana wanatubana
Yaan hata hatupumui
Nichaguen jamani muwe huru