Msaada wako ni muhimu sana

Msaada wako ni muhimu sana

Underdog

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
389
Reaction score
554
Naombeni mwenyewe uelewa juu ya BSc with biology.. Kuanzia sehemu ya kufanyia field pamoja na soko lake.. Ni wapi naweza nikaajiriwa.. Nashukuru kwa msaada wako
 
katika industries unaweza kuwa
.Market research
.Regulator affairs
.Quality control
.Qroduct development and testing
.Scientific consultation
.Patients, environment or medical law
.Bioinformatics
.Biological entrepreneurship

In government unaweza kuwa
.Environmental regulator
.Park ranger
.Water quality control specialist
.Waste management technician
.Science policy analyst
.Food and drug admin researcher
.Occupational health and safety specialist. .
na nyengine nyingi na pia kuna research kibao zinazohusiana na biological sciences na watu wanapiga hela ndefu tu,ni degree nzur maana huwez kukaa nyumbani tu,pia kuna mashirika ya medical research kibao siku hz ambao wanahitajika watu wa biology,micro biology na biotechnology
 
Nashukuru sana kwa kunipatia mwanga... Ni sehemu gani naweza omba field
 
Zingatia huo Ushauri. ni mzuri UMEJITOSHELEZA! hadi sehemu za field ndizo alizo orodhesha kwe POST ZA AJIRA! kasome bwna
 
Back
Top Bottom