Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.
Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.

Naona kila mtu anamlaumu huyu dada wakati haya mambo yanafanyika kwa sana tu, watu msiwe mnapenda kupretend jama asilimia kubwa ya watu wanatembea na waume/wake za watu wanapata mimba wengine wanazaa wanasema kitanda si haramu wengine wanatoa mi sioni haja a watu kumlaumu huyu dada as if kafanya jambo baya sana. Nikirudi kwa huyo dada yeye ni mtu mzima anajua nini anataka katika maisha yake so akae afikiri na achukue hatua. hii ishu yake hapa hawezi saidiwa kwani hakuna mtu anaeweza kumwambia katoe mimba watu wanaogopa macho ya watu hapa

Aisee mtoa mada tuambie mambo yanakwenda je, ushauri uliochagua kuupeleka umepeleka?? Nini matokeo yake??
Nikikupa pole nitakuwa nakosea. Huu msala umejitakia na hayo ndio mavuno ya kutokuwa mwaminifu katika ndoa. Umefanya dhambi ya kuzini, usifanye dhambi nyingine ya kuuwa kiumbe, kumbuka hicho kiumbe sio chako ni cha M/MUNGU. Isitoshe jamaa huko aliko pengine ameshahabarishwa tabia yako mbaya ya kutokua mwaminifu anasuburi akirudi tu-talaka. Au kuna jamaa anasubiri aje amtonye mumeo (Hakuna siri ya watu wawili).Pia anaweza kuja fahamu siku za mbeleni zaidi mambo yakawa soo vilevile!! Hebu fikiri utoe mimba na bado uje kupata talaka.
USHAURI;
Ingia mitini kabla jamaa hajarudi uukalee hiyo mimba, huyo mtoto atakuja kukusaidia baadaye. Mumeo akirudi kama ana mapenzi saaana basi atakutafuta na kukusamehe na atakuwa radhi kumlea huyo mtoto kama wake na huyo jamaa achana nae shetani mkubwa huyo!!!!!
Unataka kushirikiana nae kutoa au???
Nadhani alitaka amshauri asafiri kwa mumewe akambabikizieSasa kama mimba imepitiliza muwewe atamshtukia.
maneno yako swadakta kabisaKabisa