mambo vipi jamani
Kuna mtu alinambia kuwa kuna wakala binafsi ambazo huwa zinadeal na kuuza viwanja..... Sasa naomba kwa yoyote mwenye ufahamu anijulishe, mm nina shamba la hekari 5 liko kigamboni buyuni sio mbali na beach nataka kuliuza hiyo ndio sababu ya kuwatafuta hao jamaa ili nijue wananisaidia vipi
kwa yoyote mwenye kuwajua au mwenye uelewa anijulishe