nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,114 Reaction score 1,879 Jun 1, 2019 #1 Habari Wakuu, Jana Mtoto Aliangusha Pc yangu, baada ya Kuiwasha inaniambia hivi. Je nifanyaje?
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,283 Reaction score 49,323 Jun 1, 2019 #2 Hard disk haionekani hapo. Huenda imeharibika au waya unaounganisha na motherboard umelegea. Pelekea kwa wataalam waiangalie mkuu.
Hard disk haionekani hapo. Huenda imeharibika au waya unaounganisha na motherboard umelegea. Pelekea kwa wataalam waiangalie mkuu.
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,367 Reaction score 12,363 Jun 1, 2019 #3 Unashingapi niifungue na kuifix
nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,114 Reaction score 1,879 Jun 1, 2019 Thread starter #4 The Monk said: Hard disk haionekani hapo. Huenda imeharibika au waya unaounganisha na motherboard umelegea. Pelekea kwa wataalam waiangalie mkuu. Click to expand... Asante mkuu
The Monk said: Hard disk haionekani hapo. Huenda imeharibika au waya unaounganisha na motherboard umelegea. Pelekea kwa wataalam waiangalie mkuu. Click to expand... Asante mkuu
nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,114 Reaction score 1,879 Jun 1, 2019 Thread starter #5 Ivonovsky da White said: Unashingapi niifungue na kuifix Click to expand... Duh nipo mkoani
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,367 Reaction score 12,363 Jun 1, 2019 #6 nelvine said: Duh nipo mkoani Click to expand... Me niko Mbeya hapa