publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 611
- 723
- Thread starter
- #21
Discount kubwa, ila kama kuna sehemu wanauza kwa bei hiyo naomba nielekeze ni wapiIko poa hii hapo gtx 750ti au 1050ti fresh na ram unaongeza jumla iwe 12-16 gb mashine inakuwa imetulia.
Kama unatumia tv inakuwa poa ukinunua cpu tu. Naona wanaiuza 288000.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app