usinunue hiyo hutoweza kuweka graphics card kubwa sababu hiyo ni SFF yani small form factor but kuna gpu ndogo ndogo kama amd radeon 7570 1gb gddr5 zinaingia pia vi gpu vya zotac vinaingia pia gpu za Pny zinaingiaKwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa , hii mnaionaje kwa kulinganisha na gharama zakeView attachment 1003331
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri, sasa unanishauri nitafute tofauti na hiyo sasa upande wa gharama si itakuwa kubwa sana?usinunue hiyo hutoweza kuweka graphics card kubwa sababu hiyo ni SFF yani small form factor but kuna gpu ndogo ndogo kama amd radeon 7570 1gb gddr5 zinaingia pia vi gpu vya zotac vinaingia pia gpu za Pny zinaingia
lakini ipo fresh ni i5 3rd gen kama sio serious gaming chukua hiyo
Mfano kama gta5 yaweza cheza kwa hii pc kwa low setting?usinunue hiyo hutoweza kuweka graphics card kubwa sababu hiyo ni SFF yani small form factor but kuna gpu ndogo ndogo kama amd radeon 7570 1gb gddr5 zinaingia pia vi gpu vya zotac vinaingia pia gpu za Pny zinaingia
lakini ipo fresh ni i5 3rd gen kama sio serious gaming chukua hiyo
Asante kwa ushauri, sasa unanishauri nitafute tofauti na hiyo sasa upande wa gharama si itakuwa kubwa sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Minitower Utaweza kuweka gpu kubwa utakavyo, hiyo mashine hp 8300 itafutie gpu gta 5 itacheza vizuri.
Naweza kuipata kwa bei gani bila monitor?Tafuta Minitower Utaweza kuweka gpu kubwa utakavyo, hiyo mashine hp 8300 itafutie gpu gta 5 itacheza vizuri.
kama una shida na gpu ipo ya kuuza gtx 750 ti
Nashukuru sasa nimekuelewa nduguTafuta Minitower Utaweza kuweka gpu kubwa utakavyo, hiyo mashine hp 8300 itafutie gpu gta 5 itacheza vizuri.
kama una shida na gpu ipo ya kuuza gtx 750 ti
Sijakuelewa vizuri mkuu. Yaan kuifungua vp ndio ifanye kaziiyo mashine ukiweka gpu(nvidia) haitaingia, inabidi utafute case nyingine pana zaidi, au ufungue cover iwe inakaa wazi
inaonekana hujui gpu ni nini
Naielewa ila uliposema ikae wazi ndipo sijakuelewainaonekana hujui gpu ni nini
ingia google kwa maelezo zaidi
minitowe range yake ni 500k zile za i5 2nd gen upto 1M 4th gen core i5
babu weka bei pia sehemu hunapo patikana mzee
Nipo Dom citybabu weka bei pia sehemu hunapo patikana mzee
Hiyo gpu unauza bei ganiTafuta Minitower Utaweza kuweka gpu kubwa utakavyo, hiyo mashine hp 8300 itafutie gpu gta 5 itacheza vizuri.
kama una shida na gpu ipo ya kuuza gtx 750 ti