Msaada wadau

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndugu sana jamvi samahani kwa usumbufu utakaojitokeza, napendwa kujuzwa je kwa MTU atumiaye smartphone anaweza kusurf net kupitia bandle la net ambalo look kwenye smartphone nyingine ?
Kama ni ndivyo je nafanyaje kuyajua hayo has a kwangu Mimi natumia smartkicka?
 
Ndio inawezekana, kuna njia kama tatu, convenient ni hii washa Bluetooth kwa simu zote mbili kisha moja wapo(yenye Internet access) iwezeshe "tethering via Bluetooth" yani nenda settings-wireless and networks-Tethering & Hotspot(kwa Android smartphone) and simu unayotaka kutumia net nenda Bluetooth kisha check list ya devices itafute simu ambayo unataka kuconnect nayo then click icon cha settings pembeni utaona option ya Internet access Enable hapo waweza tumia
 

mkuu nimefata procedure zote nimefika mpaka mwisho but inaniandikia network access point for V685 not available nifanyaje hapo
 
Kwa anayejua mwingine amalizie ili nipate hayo maujuzi ili niweze kupata raha kuhusu hizo smarphone
 
1.kweny simu yeny bundle washa hotspot..config username na passprd ya hiyo hotspot ili iwe secured.
Go to setting>more>tethering&hotspot>then switch ON.
2.kweny sim isiyo na bundle washa wi-fi((kweny sim zingine imeandikw ni WLAN))..
Go to setting>WLAN>switch ON
Itadisplay list ya available wifi networks..select ile uloipa jina afu weka passwrd... then Connect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…